22.11.13

Saturday, November 16, 2013

(News) TIMKA NA BODABODA YA VODACOM YAFIKIA PAZURI

 Meneja Uhusiano wa Umma Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(katikati)akiwaonesha moja ya namba ya  simu ya mshindi aliejishindia Pikipiki katika promosheni ya"Timka na Bodaboda" kwa Ofisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid(Kushoto)na Msimamizi wa bodi ya  Michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Emmanuel Ndaki.Wakati wakichezesha droo ya promosheni hiyo,jumla ya washindi(125)wamejishindia Pikipiki na fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni (70)zimenyakuliwa.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544.

 Meneja Uhusiano wa Umma Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,akisisitiza jambo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani)kuhusiana na umuhimu wa watanzania na wateja wa Vodacom kushiriki katika Promosheni ya "Timka na Bodaboda"Jumla ya washindi(125)wamejishindia Pikipiki na fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni (70)zimenyakuliwa Wengine kushoto ni Ofisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya  Michezo ya kubahatisha nchini,Bw. Emmanuel Ndaki.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544.

Ofisa wa huduma za ziada wa Vodacom Tanzania,Bw.Rashid Maggi(kushoto)Msimamizi wa bodi ya  Michezo ya kubahatisha nchini,Bw. Emmanuel Ndaki(kulia)wakifurahia jambo wakati Meneja Uhusiano wa Umma Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu akizungumza na mmoja wa washindi wa Pikipiki katika promosheni ya"Timka na Bodaboda"inayoendeshwa na kampuni hiyo.Jumla ya washindi(125)wamejishindia Pikipiki na fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni (70)zimenyakuliwa.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544.

No comments: