22.11.13

Tuesday, November 12, 2013

(News) Vanessa Mdee kuachia wimbo mpya wiki hii 'Come Over'

Baada ya kutoka na CLOSER msanii wa kike anayefanya vizuri kuanzia kwenye kuimba hadi kurap safari hii anakuja na kitu kipya COME OVER ikiwa ni production ya Producer Nahreel.

No comments: