22.11.13

Monday, September 28, 2009

AFTER PARTY YA FIESTA ONE LOVE DODOMA.




Baada ya show ya mchana usiku tulienda after party pale ROYAL VILLAGE. Na bata lake lilikuwa noma.

Vijana watanashati wakiwa wamepiga pozi huku wakionyesha vidonda vyao vya miguuni

dj choka ndio aliyekuwa anawaporomoshea madude washkaji.

No comments: