22.11.13

Tuesday, September 29, 2009

DULLAH AWAMAINDI WASHKAJI WA GAZETI LA BAAB KUBWA KWA KUMDHALILISHA.....

Habari zetu wadau wangu... gazeti litokalo kila mwanzo wa mwezi lijulikanalo kwa jina la Baakubwa limemtoa mtangazaji wa TV na Radio ya East Africa Dullah kuwa amewekwa ndani na msichana anayejulikana kwa jina la Jackline Wolper.
Na hii ndio mail yake aliyonitumia na anachokitaka kukifanya baada ya hapa.

"Siku kama mbili tatu zilizopita nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu akiniambia nisome gazeti la BAAB KUBWA kuna habari yangu nikujuwa nikawaida hee nilivyoenda kusoma ni sooo jamaa wameamuwa kunidhalilisha mbaya wametowa story ambayo hata hawana uwakika nayo kuwa "dullah wa planet bongo kawekwa ndani" choka jamaa wamenipa wakati mgumu sana nimekuwa na muonekano tofauti uraiyani wameamuwa kuni dhalilisha kwa habari ambazo hazina ukweli wowote choka jamaa wana fell sana wanazidi kulialibu gazeti lao sasa hivi limekuwa kama gazeti la udaku, lakini ninachoweza kusema sheria zipo na zitafata mkondo wake...."

10 comments:

Anonymous said...

hayo ni maamuzi mazuri dullah
jamaa wamezidi fuck

Anonymous said...

Kama walichosema sio kwel wapandishe kwenye kizimba mkuu, koz magazeti ya Bongo yamezidi wamekua wakilalamikiwa sana kuandika habari ambazo hawajazifanyia uchunguzi! hiyo ni kesi nzuri saaana ya DEFAMATION(Kashfa), fanya fanya ili uwashikishe adabu.Kila la kheri.

Anonymous said...

dullah pole sana ndugu yangu hiyo ndio tabu ya kujulikana sisi wenye uwelewa tunajuwa hao jamaa wa bab kubwa wanachokifanya ni kuuza tu ila kiukweli hii ishu haijakaa sawa.. kiukweli tu mi nilikuwa shabiki sana wa lile gazeti lakini tangu waanze ishu zao za kiumbea na tena zakiuwongo wamenichefuwa sitaki hata kuliona hilo gazeti... dullah cha msing ww fuata sheria ili iwe fundisho kwa wengine.... ni hatu choka

Anonymous said...

dullah hilo gazeti sasa hivi limekosa muelekeo yaani kwa lugha nyepesi wana tapa tapa mi nilikuwa shabiki wa ukweli wa hilo gazeti la bab kubwa lakini tangu waanze ishu zao z\a umbea yaani wamenichefuwa moja kwa moja... sasa dullah cha msingi wewe fuata sheria ili iwe fundisho kwa wengine...

Anonymous said...

Sheria za Bongo?zitumike

Anonymous said...

weeeee wamefuliaaa

Anonymous said...

Ngoja niwaulize. Je sio kweli kuwa Dullah anatembea na huyu dada bingwa wa kuwa na wazee na kisha kuhonga kwa dogodogo anayempenda?
Huyu dada anacheza filamu za kibongo kawaida yake kuwa na mzee anayehudumia kila kitu kisha anachagua dogo anayempa mambo.

We Dullah naye defamation gani wakati ni kweli? Kama una character basi nenda mahakamani TUONEEEEEEE

Anonymous said...

Huyo dula mmwenyewe anakashfa kuwa ni kaka poa sasa sishangai akiolewa na huyo dada eti ataenda mahakani nenda tuvumbue na yaliyojificha. nyang`au wewe

Anonymous said...

hao jamaa sio wajinga kuandika wasichokijua wew nenda mahakaman ukajifedheheshe zaid.Kama vp wew potezea tu jembe.

Anonymous said...

Halafu unakuta hilo lililo comment hapo juu linajiita janaume......