22.11.13

Monday, September 28, 2009

HIVI KWANINI WATU HAWANIELEWI......

Ruben aka Ncha kalih mtangazaji maarufu kutoka radio ya watu Clouds Fm, ametoa wimbo wake unaokwenda kwa jila la HUNIELEWI. Ncha Kalih ameniambia wimbo huo umerekodiwa pale Bhitz chini ya watu wazima wawili Hermy B na Pancho Latino.
USIKILIZE WIMBO HUU HALAFU UNIPE MAONI YAKO UKIWA KAMA MDAU WA MZIKI WETU WA NYUMBANI, MAHALI NI HAPO PALIPOANDIKWA FLEVA MPYA ZA BONGO.

2 comments:

Anonymous said...

Nimeusikiliza vizuri lakini sijaupenda ni mtazamo wangu

defxtro said...

oooooooooi!'s nicca is a killa lyricist!