Hawa ndio wadada wanaotangaza kipindi cha LEO TENA pale CLOUDS FM kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana.
kuanzia kushoto ni mwanadafada Suzy, Zamaradi, dj choka kwa nyuma, Gea Habibu na Starring mwenyewe Dina Marious. Dada zangu hawa nawazimia ile mbaya ifikapo sehemu moja inayoitwa CHACHANDU LA LEO daaaah
Nyuma ya camera alikuwa ni dj fetty

3 comments:
choka sio siri hata mimi hawa wadada wananikosha kwelikweli nakwambia
mamaaaaaaaaa DINA Inahuuuuuuuuu
jamani kumbe Gea ndio huyu.... MAKUBWA...mbona hafananii na anavyoongea
Post a Comment