22.11.13

Wednesday, September 30, 2009

PARTY YA USWAZI IMEACHA GUMZO MWAKA HUU PALE MWEMBE YANGA TMK.

Mfalme wa muziki wa taarabu Tanzania Mzee Yusuph akifanya vitu vyake kwenye Tamasha la Uswazi Menyuka lililoandaliwa na EATV

Washiriki wa shindano la kula vitumbua wakiwa tayari kufanya vitu vyao kwenye Tamasha la Uswazi Menyuka lililoandaliwa na EATV Jumapili huko Mwembe Yanga Temeke Dar Es Salaam

Sehemu ya Umati Mkubwa uliojiokeza Kwenye Tamasha Uswazi Menyuka ambapo zaidi ya watu 30,000 waliuzuria ilikuwa nyomi iliyovunja rekodi ya matamasha Tanzania

3 comments:

speed120 said...

duh..kumbe wananchi wa Temeke wanaweza kutulizwa...inaelekea walikoshwa

Anonymous said...

MATAMASHA YA EATV NA RADIO YANATISHA SANA SASA HIVI MTU WANGU...

Anonymous said...

Wanapenda kuls sanandio maanaw wanahudhuria kwawing