22.11.13

Monday, September 28, 2009

SAFARI YA FIESTA ONE LOVE DODOMA ILIANZIA MJENGONI CLOUDS FM.

Hili ndilo gari la tour yote ya Fiesta One Love 2009

Mr. Blue, friend wa blue, Hamidu na Chid Beenz wakiwa tayari kwa safari ya Dodoma

Lamar na Mr. Blue

Ndani ya gari la Fiesta kulikuwa na Camera ya Clouds Tv na hapa ilikuwa inaendeleza makamuzi kwa kufanya mahojiano na Mangwear.

Ukiwa star lazima uwe na ulinzi, Mcheki B12 akiwa amekula pozi na nyumba yake ni.......

Safari ikapumzika Morogoro ili watu wapate msosi,

Tulifika salama Dodoma na kesho yake mchana ndio show ilifanyika

Baadhi ya wasanii wakiwa tayari kwa show, hapa walikuwa wamekula pozi na kulisubiri gari kuja kuwachukua.

Watoto wa zenji wakiwa fresh na kusubiri gari kuja kuwachukuwa kwenda kwenye show

Nay wamitego pamoja na dj choka

hapa nilikuwa nakula mautundu za kizenji, waha jamaa bwana usiwapimie

DJ CHOKA ALIZUNGUMZA NA BAADHI YA WASANII KABLA YA KWENDA KWENYE SHOW.


Nilianza na msanii Izzo biznes na kuniambia maneno yake machache.

Nikaingia chumba cha Godzilla & Niki wa 2.



Nikaingia tena room ya Nay wa mitego



Nikaingia chumba cha watoto wanaopenda Gucci


No comments: