22.11.13

Tuesday, October 06, 2009

COLLECTION YA CHID BEENZ

Chid Beenz kwa hivi sasa ameamua kutengeneza CD zake na kuzibana mwenyewe(kuziuza), chid amesema CD hizo zitakuwa na nyimbo zake za zamani na za sasa zote na ambazo hazijatoka utazipata humo. Kila CD itauzwa sh elfu 5 tu, kama unataka basi chonga na me halafu nitaufikisha ujumbe.

1 comment:

wahida shoo said...

kaka hee namzimia sana chidi alafu kafanana na shemeji yako sanaaaa.