22.11.13

Tuesday, October 13, 2009

FIESTA ONE LOVE KUMUENZI BABA WA TAIFA MUSOMA.

Daima tutakukumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, uliye pigania Uhuru wa Tanganyika, muasisi wa Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, Azimio la Arusha, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar .......... na Rais wa Kwanza wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mwl. Nyerere enzi za ujana wake akiwa kwenye pozi la ukweli kabisa,
SHOW YA FIESTA ITAFANYIKA IJUMAA HII MUSOMA, VIJANA MJITOKEZE KWA WINGI KUJA KUONA WASANII WATAMUENZI VIPI BABA WATAIFA.

Siku ya mazishi yake mwaka 1999, wananchi kibao alifurika barabarani.

NIKIRUDI KAMA KAWA MAKAMUZI YANAENDELEA. SORRY VIDEO ZA SHOW YA MWANZA ZINAGOMA KUINGIA KUTOKANA NA ENTERNET ZA HUKU SPEED YAO NI NDOGO, KWAHIYO NAWAAHIDI NIKIFIKA DAR NITAWARUSHIA MUONE.

1 comment:

Anonymous said...

Tumia Zantel Internet connection...