22.11.13

Tuesday, October 13, 2009

NAWASHUKURU WATANZANIA.

Mimi kama Ay napenda kuwashukuru watanzania wote waliokuwa na mimi katika kipindi chote cha upigaji kura, ila ndio hivyo tena sikuweza kurudi na ushindi nyumbani, ila nawahimiza kutokata tamaa kabisa kwani bado vitu vingi vinakuja na ushindi utakuwepo tu.
NAWASHUKURU SANA TENA SANA NA MUNGU AWABARIKI

No comments: