22.11.13

Friday, October 23, 2009

FIESTA ONE LOVE SHINYANGA.

Madee akiwa tayari kabisa kwa makamuzi ya hatari, mpiga picha wangu alichelewa kidogo kupiga picha so akawakosa wasanii wengine na kuanza na Madee.

Ma dj wa show wa siku hiyo kushoto ni Mully B na Harun

Kama kawa mwanadafada wa mauno Baby Madaha alikuwepo Shinyanga kutoa show kali

Kazi ipo angalia jamaa wamesimama hewani hawajafika jukwaani, ni Chege kushoto akiwa na mwenzake Stiko.

Cowbama kama kawa habaatishi show zake huwa ni makamuzi kwa kwenda mbele.

Mwanadada Maunda Zorro.

JB na Nature wakikamua kama kawa

Dolo msanii kutoka TMK Wanaume Halisi akiwaonyesha mashabiki kwamba ni tatu bila

Vichwa mmeviona...

Marlaw na aliwaakikishia wakazi wa Shinyanga kwamba yeye ni mkali

Fid Q mzee wa Mwanza Mwanza alipata shangwe za kutosha

Vijana wa Ilala La Familia wakatimba kwa steji

Wanamwita Mr. Kabaisa aka Mr. Blue alipata shangwe za kutosha kutoka kwa mabinti wa Shinyanga

Joh Makini mwamba wa kaskazini

No comments: