22.11.13

Friday, October 23, 2009

SAFARI YAKURUDI NYUMBANI ILIKUWA NDEFU SANA.

Tulivyofika Singida bwana tulikutana na kitu kinachoonyesha hivi, basi hapa watu wote walichoka bwana.

Wasanii wakiwa ndani ya gari wakitizama picha zao za show

Watajuaje kama ulikuwa kwenye show za Fiesta, lazima uwanunulie japo nyanya ili baraka zitimie, hapa wasanii wakinunu japo kitu kidogo chakupeleka nyumbani.

No comments: