22.11.13

Monday, October 12, 2009

HABARI NJEMA KWA WATANZANIA NA WAAFRICA WOTE WALIOPO INDIA.

Ujumbe ni kuwa wote tutakutana pamoja ndani ya party ambayo haijawai kuwa na mfano yenye jina white party ambayo ni dress code.wenye nguo nyeupe tu kuonyesha upendo na mshikamano kwa waafrica na watanzania wenzeti.

3 comments:

Michuzi said...

This is real what we want for africans in Bangalore mazee na india yote kwa ujumla.Tuungane na kuwa pamoja.

Anonymous said...

dah!ebwana ehhhhhh.....hyo imetulia sana,tha entrance is veyr reasonable.Wapi tutajumuika+ni lini???toeni taarifa kamili.....

Anonymous said...

mjomba hii itakua bangalore ndani ya sambraham resort,jmosi hii tar 17 oct 2009