22.11.13

Friday, October 02, 2009

HAPPY B,DAY NOORAH.

Tarehe 3 mwezi wa 10 ya kila mwaka msanii huu anayejulikana kwa jina la Noorah anasherehekea siku yake yakuzaliwa....sisi tunamtakia mafanikio mema na mungu amjalie kwa kila kitu anachokifanya.
HAPPY B,DAY BRO.

No comments: