DJ Choka akiwa na Mama Shalon kwenye tamasha la WAPI lililofanyika mjini Arusha
Mama akiwasalimu ndugu jamaa na marafiki waliohudhuria tamasha hilo, pembeni kulia ni H.K
Akili ni.....
Washkaji wa Arachuga wakila pozi la pamoja
Wasanii waliokuja kwenye Fiesta ya Arusha siku hiyo walipata nafasi yakuhudhuria tamasha hilo.
Mama akiwa na Fid Q
Hip Hop ya Mwanza inapokutana na Hip Hop ya Arusha basi mambo yanakuwa shwari sana, ni Fid Q akiwa na JCB wa WATENGWA.
Tabasamu hapa huwa ni Adimu sana,
Wale wakina naniii hawakukosa kwenye hili tamasha.
Nyie wakina nani kwani?
Fid akiwa na bro ambaye jina lake lilinikimbia, ila jamaa anaongea kijamaica vibaya mnooo.
Nikiwa kwenye kundi hii mimi huonekana mchumba tu, dj choka ndio aliyevaa miwani.
Jamaa aliniletea tshet yenye maneno hayo hapo kifuani HATUSEPI MPAKA KIELEWEKE..sasa jamaa mwenyewe umemuona unafikiri kisipoeleweka nini kinatoke.
Mwanadada Nakaaya atown ni home so alikuwepo nae kama kawa.
No comments:
Post a Comment