22.11.13

Thursday, October 29, 2009

JEZI MPYA ZA TIMU YATAIFA ZIMEINGIA ZIZZOU FASHION

Dj Choka akiwa ndani ya jezi ya taifa na skafu yake na kibegi chake pale zizzou fashion victoria

Wachezaji wetu wa mpira walioko nje ya nchi walitumia nao jezi za taifa, hapo juu ni Athuman Idd Machupa.

Boban, Machupa, Joseph Kaniki

1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

Duh!!!
Zimetulia kwa kweli. Sijajua ubora wake na zinavyokuwa baada ya kufuliwa, lakini zaonekana vema saaana.
Ntazisaka