22.11.13

Wednesday, October 28, 2009

MZIGO MPYA UMEDONDOKA KWENYE MADUKA YA ZIZZOU FASHION.

Magazeti yakumwaga yanapatikana

Mikanda ya kiume na yakike

Jezi za mpira wa basketball zinapatikana pale za timu tofauti tofauti

Chupi za kike na boxsa za kiume zinapatikana

Viatu ndio usiseme mzigo mpya kabisa

Skafu za timu mbali mbali na mabegi yenye nembo ya Tanzania kama unavyojionea hapo kushoto.

Kofia za kila aina, bila kusahau mashati na suruali pia zinapatikana kwenye maduka ya ZIZZOU FASHION, kumbuka ni Sinza Africasana na Victoria Oilcom

No comments: