22.11.13

Friday, October 23, 2009

NICK WA PILI Info

Msanii Nick wa pili anakuja na track mpya kabisa iitwayo "Excellent" ilopikwa ndani ya studio za Noizmekah Arachuga chini ya producer Dx ...
Na raund hii Nick wa pili amemshirikisha Banx kwenye chorus ya trak hiyo inayotarajiwa kutanguliwa na video ambayo ipo katika hatua za mwisho za editing.
Video ya "excellent" imefanywa "Hoodpixx Arachuga", kitengo cha video kwa studio za noizmekah Arusha chini ya producer/director Defxtro...
video hiyo imefanywa katika location mbali mbali kule arusha ikiwemo river camp anakowakilisha Nick...

No comments: