22.11.13

Wednesday, October 28, 2009

NILIJIAMINI NDIO MAANA NIPO ZIZZOU ENTERTAINMENT.

Msanii mdogo mwenye kipaji cha kipekee anayejulikana kwa jina la Baby Boy, kwa hivi sasa amekamilisha video yake mpya inayokwenda kwa jina la TUNAPENDANA akiwa amemshirikisha Steve. Baby Boy msanii ambaye yupo chini ya lebo ya Zizzou Entertainment amesema video yake ni kali sana na wananchi wakae mkao wa kuitizama, amesema video hiyo amefanya chini ya kampuni ya Kallage's Picture ya John Kallage.

No comments: