22.11.13

Wednesday, October 28, 2009

TUTAELEWANA TU MWAKA.

Mchizi Mox msanii mwenye mbwembwe nyingi na mwenye sauti za kipekee amesema mwaka huu iwe isiwe lazima tutaelewana tu. Mox amesema hivyo baada ya kukutana nae leo jioni maeneo ya Millenium Tower na kuniambia wiki ijayo anatoa wimbo wake mpya utakaokwenda kwa jina la SHUBIDUBIDUTUTUTU.
Mox amesema wimbo huu ameutengeneza pale kwa Lamar na ameniambia mwishoni mwa wimbo huu atasikika akiimba na kwenye kiitikio jamaa ameimba pia.
daaah na hamu kweli ya kuusikia huu wimbo mchizi mox.

2 comments:

twenty 4 seven said...

jina tu linaashilia ngoma itakuwa kali twaisibili kwa hamu...............

mandela said...

kamanda tunasubiri ngoma hiyo kwa hamuuu!!