22.11.13

Thursday, October 29, 2009

NYIMBO ZILIZOTUFIKIA LEO.

Hawa ni washkaji waishio mjini Slough, United Kingdom. Huyu mwenye afro anaitwa Deejay Ejay na mwenzake anaitwa Big Eyoub, Deejay ametoa ngoma yake inayoitwa Deejay Ejay ambayo ameimba humo ndani vizuri tu. Isikilize vizuri halafu uniambie ninavyokuwa.

Ngoma ya pili ni kutoka kwa Ngek Master aka Geeva wimbo wake unaitwa Music is my life.

SIKILIZA NYIMBO HIVI HALAFU UNIPE MAONI YAKO.

1 comment:

Anonymous said...

Single ya kwanza halafu balaa 57 yoo !