22.11.13

Wednesday, October 28, 2009

SASA KILICHOBAKI NI KULA KULALA NA KWENDA GMY.

Msanii Mangwea amezungumza na Bongo Star Link na kusema baada yakutoka kwenye tour ndefu ya Fiesta huko mikoani kwa sasa ameamua kufanya haya yafuatayo hadi itakapofikia fiesta ya Dar.
namnukuu "choka kwa sasa nimeamua KULA KULALA nikiamka nakwenda mazoezi kidogo nikirudi ni kula na kulala, gambe ni kidogo sanaaaaaaaa, hata mikasika ni mara moja kwa mwezi."
Anasema amehamua hivyo kwa sababu ya kuupa mwili wake mapumziko yakutosha nakujiandaa na Fiesta ya Dar kwa sababu yeye anaichukulia hiyo show kama moja kati ya show zake kubwa na itakuwa kumbukumbu yake.

1 comment:

Anonymous said...

Salute kwa Ngwair, katisha sana mwaka huu, huu mwaka umekuwa wake! big up jamaa taste yake haina mfano! wacha ale bata sasa! Ebu muulize ngoma yake ya Birthday aliyotuahidi kitambo vipi?? sijaiskia bado!Choka nasubiri jibu hapa!!

Ngwair'z #1Fun