Show ilianza kufunguliwa na msanii Quick Racka
Akafuatiwa na Belle 9 mtoto kutoka kule mji kasoro bahari
Baadae akafuatia Mr. Blue msanii kutoka pale Zizzou Entertainment
Madee kutoka Tip Top Connection lilikuwa shavu lake tena
Baby Madaha mwanadada anayekinyonga kiuna balaaaaaaaaaaa
Mzee wa kubembeleza Marlaw
Kutoka kiumeni Chege alikuwepo
Mangwear na Fid Q kwenye jukwaa moja Musoma.
Akabakia Fid mwenyewe kukimbiza
Maunda Zorro msanii kutoka kwenye familia yenye vipaji nae aliwabembeleza wakazi wa Musoma
Kijana wa Atown Joh Makini nae hakuwa nyuma kufanya vizuri
Ilalaaaaaaaaaaaaaaa Chidi Beenz kama kawa NO COMMENTS
Mwanadada Chiku kutoka La Familia alikuwa jukwaani pia
JB msanii kutoka TMK Wanaume Halisi
Siku zote kaka hufunga show, Juma Nature ndiye aliyewaambia wakazi wa Musoma kalaleni salama.
1 comment:
l luv z makeup baby madaha!
Post a Comment