Maimatha akizungumza na mwanadada Nice Chande.
Aunt akipita kila meza kuibariki Shampen yake ili ifunguke kwa amani.
Aunt akipita kila meza kuibariki Shampen yake ili ifunguke kwa amani.
Aisha Bui aliyekuwa mke wa marehem Mpakanjia akiwa ameshikilia glass wakijiandaa kugonga cheerz na Aunt.
Baadhi ya wasanii wa Filamu hapa nchini wakiwa wanagonga cheerz kwenye sherehe hiyo ya Aunt Ezeckiel.
Irene Uwoya akifungua mziki.
1 comment:
tunaitaji pic zake zaidi mzazi...
Post a Comment