22.11.13

Wednesday, October 28, 2009

SIKU AMBAYO AUNT EZECKIEL ALIZALIWA TENA.

Maimatha akizungumza na mtoto aliyezaliwa siku hiyo.

Maimatha akizungumza na mwanadada Nice Chande.

Aunt akipita kila meza kuibariki Shampen yake ili ifunguke kwa amani.

Aunt akijiandaa kufungua Shampen tayari kwa kuanza sherehe.

Aisha Bui aliyekuwa mke wa marehem Mpakanjia akiwa ameshikilia glass wakijiandaa kugonga cheerz na Aunt.

Baadhi ya wasanii wa Filamu hapa nchini wakiwa wanagonga cheerz kwenye sherehe hiyo ya Aunt Ezeckiel.

Aunt Ezeckiel akikata keki yake

Hapa bwana hakuna kujuana kabisaaaaaaaaaaaaaa

Aunt akipakuwa msosi, huwa harembi kwenye maswala haya

Irene Uwoya akifungua mziki.

1 comment:

Anonymous said...

tunaitaji pic zake zaidi mzazi...