Hawa walikuwa ni madj wa siku hiyo..yule aliyevaa tshet black huku vidole vikiwa hewani ni mdogo wake Nakaaya na nadhani ndio wa mwisho.
Kuonyesha utundu wako inaruhusiwa...jamaa walikuwa wanawakilisha vipaji vyao kwa njia ya kuchora.
Vikao vilikuwa vinaendelea kama kawa na washkaji wa Atown wanakuwa wanaelewa sana wanachoambiwa kwa kweli.
Anaitwa Abdul Kachaa, nilimpenda sana huyu mtoto kwasababu alikuwa anaongea mambo ambayo hukutarajia kama atasema, hapa alikuwa anawakilisha kipaji chake kwenye tamasha hilo.
Mwanadada Kekuu alifanya show nzuri na aliiwakilisha hip hop kwa upande wa watoto wakike.
NA HII NDIO ALICHOKUWA AKIKIIMBA SIKU HIYO.
NA HII NDIO ALICHOKUWA AKIKIIMBA SIKU HIYO.
No comments:
Post a Comment