22.11.13

Friday, October 23, 2009

UNAJUA NI NINI ALICHOKIONGEA DJ CHOKA KATIKA GAZETI HILI, JIPATIE NAKALA YAKO USINGOJE KUSIMULIWA.

Pata Nakala Yako ya Base Magazine. # 1 Tanzania Entertainment Magazine.
Pata Uhondo wa habari za Burudani na Michezo,
Kutana na Adam Juma mtaalamu aliyebobea wa Video za Muziki wa Bongo je wafahamu kuwa ni actor wa Kimataifa?
Pata sababu iliyomfanya Jose Mara toka wazee wa Ngwasuma Kutoa Chozi la Yatima,
Kutana na 9ja new export D Banj U must Fall in Love,
Wakati wasanii wa Uganda Wakifaidi Corporate Endorsement mbona makampuni ya Bongo yana Imani ndogo na wasanii wa Bongo Fleva? Pata Majibu,
Wadada Jihadharini na Fataki(Relationship),
Plus Kali toka Marlow, Cpwaa Na Bingwa wa Back Up bongo DJ CHOKA,
Kama Haitoshi utajipatia Jarida la Entaprena kwa Wajasiria Mali wa leo na Wajao, kwa Mchango wa shilingi elfu Mbili tuu.(2,000.)

No comments: