22.11.13

Wednesday, October 07, 2009

WHO IS THE TANZANIAN HOTTEST MC 2009.

Habari wadau wangu, nimeamua kuweka haka kamchezo ili kumpata yule atakaye onekana ni king'ara kwenye blog hii..kama wewe ni mdau na unataka kutoa zawadi kwa mshindi atakae shinda hapa unaruhusiwa na tunakaribisha makampuni kutoa zawadi kwa mshindi.
Wapiga kura ni nyie na mwisho wa shindano hili nitawatangazia hapo baadae.
JINSI YA KUCHEZA NI UNAINGIA HAPO CHINI KULIA KWAKO HALAFU UNA VOTE.

4 comments:

Anonymous said...

U r wrong
1. mbona wote wanaume watupu?
2. mbona wote hip hop?
3. Where is Ali Kiba, Mr blue,Lady jaydee,Banana zoro,Mpoto?

Anonymous said...

ebwana ngwair noma kaka by double D

Anonymous said...

joe makin anatisha sana kiukweli mchizi ana rymes tamu sana kila nyimbo zake ninapozisikia nainjoy sana, anjua kutunga, kurap ndo usiseme hata shooo zake pia si mbaya so anastahili kuwa juu ya wengine

nam said...

mi naona AY Choka.. yupo juu..