22.11.13

Wednesday, November 04, 2009

HII NDIO ZAWADI YA FIESTA ONE LOVE KWA MWAKA 2009.

Hili ndilo gari litakalotolewa siku ya Fiesta One Love kwa hapa Dar es salaam siku ya tarehe 21 mwezi huu. Ili kulichukua gari hili ni lazima kununu tiketi ya fiesta.

Kama unavoliona likiwa na machata ya watu tofauti tofauti watu wakawaida na mastaa.

Hili chata nililipenda sana.

Nilifanikiwa kudondosha wino kwa upande ule wa kulia juu kama unavyoona.

No comments: