22.11.13

Wednesday, November 04, 2009

WATOTO WA THT WAJIFUA VILIVYO NA LIVE BAND.

Hawa ni madansa wa THT niliwapachika majina ya Brick & Lace kwa sababu wanapendana sana na hupenda kuwa pamoja kila wakati.

Ndani ya gari wengine walikuwa wamepumzika kwa kusukana.

Hawa ni madansa mahiri na wanaotegemewa pale THT

Kama unavyoona aliyetupa kisogo ni kaka yangu Ruge akiwatizama watoto wake wanavyojifua na live band, siku hiyo yamazoezi walikuwepo pia wasanii waliokuja kufanya mazoezi ya band kama Marlaw, Ally Kiba, Pipi na Barnaba na wengine wengi.

No comments: