22.11.13

Friday, November 06, 2009

KAENI MKAO WA KULA.

Huu ni ujio wa album mpya ya Albert Mangwear aka Cowbama inayoitwa NG'E 1982... album hii itatoka siku ya tarehe 16 ambapo ndio itakuwa tarehe ya kuzaliwa kwake Mangwear. Amesema album iko poa sana na ina ngoma zake hit kibao washkaji wakae mkao wakusikiliza kitu kizuri maana wamenimiss sana tokea miaka mitano iliyopita.
Album hii inasimamiwa na Zizzou Entertainment na soon tutawaambia sehemu zinapopatikana.

No comments: