22.11.13

Friday, November 06, 2009

NISIKILIZE MIMI...

Habari zenu jamani... naomba leo niseme kitu kimoja ambacho mnakikosea katika kuandika jina langu, mimi jina langu linaandikwa Quick Rocka na sio Quick Racka.
Hii nikutokana na waandishi wa habari hulikosea na mimi nakuwa sifurahishwi na kitendo hicho, nawapendeni wote na nawatakia kazi njema tuendeleze mapambano ya msingi.
PER MORE JAH.

1 comment:

Anonymous said...

Tatizo ni nyinyi wenyewe wasanii mnakuwa hamzingatii majina yenu na kila mara mnbadilisha badilisha herufi na kuchanganya watu, hivi hamjui majina hayo mnayotumia ndio trademark yenu katika biashara. Unamkuta mtu leo anajiita Witnes na kesho unasikia anajiita Witnesz na kuiweka kwenye video, Mara leo Mangwea na kesho Mangwair, na keshokutwa Ngwea, Mara leo Mwasiti na kesho ni Mwaciti. Mnaboa sana kwa hiyo wala msiwalalamikie waandishi na wapenzi wenu kwa sababu wanashindwa kujua waandike jina lipi.