22.11.13

Wednesday, November 18, 2009

THE MAKING VIDEO YA MZEE ZORRO - BARUA PEPE.

Huu ni wimbo mpya wa Mzee Zorro unaoitwa Barua Pepe, wimbo huu amemshirikisha Stara Thomas, video ya wimbo huu inatengenezwa na kampuni kubwa inayokwenda kwa jina la SHOWBIZ DEFINED ENT (SBD).
Nilipata shavu la kuwepo kwenye video hiyo na kuact na mtoto mzuri anakwenda kwa jina la Sasha.

Hapa ilikuwa ni ugomvi tu hatukuelewana kitandani.

Tukapatana.

Ugomvi tena jamani hata sitaki anishike.

Basi ilikuwa utani tu jamani.

Bwana mdogo Eryne akiwa makini kabisha kufuatilia yanayoendelea nakuchukua kila matukio.

Mwanadada Witnesz akiwa kazini akimpaka makeup dj choka

Sasha akiwa bafuni baada ya hasira yakugombana nae.

Sasha akiwa anaandika barua pepe.

Uzalendo ukamshinda akanifuata nilipo.

Akakusanya virago vyake na kusepeshaaaaaaaa.

No comments: