22.11.13

Wednesday, November 18, 2009

MANGWEAR ALIVYOZALIWA UPYA SIKU YA JUMATATU.

Hawa ni maswahiba wawili Squeezer na Mangwear wakiwa pamoja wakifurahi, siku hiyo Squeezer nae alizaliwa. Siku hiyo Ngwear aliwaalika washkaji na baadae aliwasikilizisha album yake mpya ya NG'E 1982.

Wadau wakiwa pamoja wakisikilizia nini kinachofuata

Washkaji walioalikwa wakiwa kwenye pozi la pamoja

Jafaray, Adam, Fid Q na Ruben.

No comments: