22.11.13

Wednesday, November 18, 2009

TULIVYOJIACHIA NA SAFARI YETU YA ZANZIBAR.

Hapa tulikuwa kwenye boti tunaelekea ZNZ, kuanzia kushoto ni Mangwea, Salum Chao Chao, dj choka na Mr. Blue.

Salum akiwa na Kassim Mganga

Mkubwa Fella na Blue.

Kushoto ni Abdul mshindi wa Maisha Plus session 1.

Chege, KR na Fella

Mwenzangu, ni dj choka na Shydel mwanadada kutoka Clouds FM, mnabishaaaaaaa

B12 aka KING OF AFTERNOON SHOW akiwa kwenye Pozi la uwakika

No comments: