22.11.13

Friday, November 20, 2009

NEW STYLE.

Msanii Handsome, Brotherman, Misifa yote iko kwake anajulikana kwa jina la Prince Dully Sykes amekuja na style yake nyingine ya nywele na yeye ameipa jina la MAFIKI ZORO.
Dully ameongezea kwa sasa anahamu sana na hufanya kazi na top model anayekwenda kwa jina la Cynthia Masasi kwa sababu anamfil sana yule dada tena sanaaaaaaaaaaaaa.

Slim & Dully waliponitembelea jioni hii ya leo.

1 comment:

Anonymous said...

ati Dully ile nyumba iliyotolewa na globalp ndio kwako kweli?