22.11.13

Wednesday, November 11, 2009

NIMESHIKWA NA KWI KWI.

Huu ni mkono wa dada niniliii ambapo hapo mwanzo ulikuwa unaonekana hivi na kila akifanya enterview alikuwa anaisifia hii tatoo.

Sasa sikuonana nae kwa mda kweli nikaja kuonana nae Arusha akiwa hivi, sasa sijaelewa kama ndio tayari imeshakuwa kushneheee au vipi dada yetu, maana naona ramani ya Africa imeingia pembeni na kusomeka N Africa badala ya M1.
AU WADAU MNASEMAJE? KUNA LOLOTE TWAWEZA KUSHARE.

3 comments:

Anonymous said...

Mambo yenu ya kuiga hayo...mkiona Dupri kachora tatoo ya Janet basi na nyinyi mnaweka tatoo za wapenzi wenu...ukiona ivo babu M1 ndo kashasepa mzee...saiv anajifanya anaipenda afrika...unafanya mchezo na wanyamwezi nini!!!pole!!!

Anonymous said...

liwe fundisho kwa wote mnaojichora mwilini majina ya watu kupitia mapenzi,na choka si ungemuuliza huyo dada,lakini obvious M1 kala kona,na wewe choka hilo jina nani kakupa ? mimi naona kama hujaCHOKA ,tsuup wit dat bro!!!!!???????

scatter said...

huyo si nakaaya mnatuzuga