22.11.13

Friday, November 20, 2009

ONYO NA TAHADHARI KWA WASHKAJI ZANGU WA FACEBOOK

Kwenye Facebook kuna mtu analitumia jina langu na kujifanya kwamba yeye ndiye Mr. Blue, napenda kuwataharifu kwamba ukiliona jina limeandikwa MRBLU CABYCER ujue sio mimi huyo, mimi natumia jina la HERRY SAMEER, na utaiona picha kama hii iliyopo hapa kwenye blog ya dj choka. Huyo mtu hata simjui na sijui kwanini kaamua kulitumia jina hilo la kwangu.

4 comments:

NURU THE LIGHT said...

NDO ZAOM M2WANGU KAWAIDA TU SEMA UMEFANYA VIZURI KUJULISHA WATU...,MIJITU IMEKOSA KAZI BASS KUBAKI KUHARIBU MAJINA YA WATU...,CHOKA UPOOOOO

mimi said...

dogo huna hati miliki ya jina mr blue,dunia hii ni pana sana na kama ww upo facebook hutashangazwa kukuta jina moja linatumiwa na watu milion mia moja ,tofauti huwa jina la pili ama la tatu.

pia huyo jamaa anayejiita mrblue mbona jina lake la pili linajieleza kabisa kuwa sio wewe.sasa wasiwasi wako ni nini dogo,ama anatumia picha zako pia?

usiwe na wasiwasi dogo.

mgumu said...

Mr.blue don't worry report him they can close his profile

irock said...

ni kwelihuyo huyo mtu alikuwa akijidai kuwa blu! not only alikuwa akijiita mr blue kabyser, jamaa akatumia picha zake pia!