22.11.13

Wednesday, November 18, 2009

SAFARI YETU YAKURUDI DAR BAADA YAKUTOKA ZNZ.

Tunda Man akiwa na Manager wa kundi la TMK Wanaume Family Said Fella.

Hapa palikuwa patamu sana, kwani Madee, Ngwear na Fid Q waliweka biti kwenye radio na kuanza kufreestyle kwa sauti na hakuna abiria aliyebishaaaa

Romez Jonz na dj choka

dj choka na Cathbert kutoka Primetimes Promotion

Mara tukaanza kuiona Dar es salaam ileeeeeeeeeeeeeeeee


No comments: