22.11.13

Thursday, November 26, 2009

SHOW ILIYOFANYIKA KATIKA CHUO CHA SANAA BAGAMOYO (TASUBA - Taasisi ya Sanaa na Utamaduni)

Mashabiki wakiwa jukwaani na mwanadada Ray C

Ray C

Fid Q ndio msanii aliyefunga show kwa siku hiyo.

Lord Eyez & dj choka

Michael na dj choka.

4 comments:

Anonymous said...

eti choka huyo michael mbona habadili shati tatizo ni nini kila sherehe ana shati hilo hilo na vijinsi vyake vinavobana vinaboa hizo staili za themanini kwa kina bob marley

Anonymous said...

Mimi nina swali na tena nakuomba unijibu kama unajua hii habali,,eti Ray c ni mpenzi wa Fid Q??naomba unijibu kama unajua.

Unknown said...

mhhh huyo choka ndugu yangu sisi hatujui ukweli kwanini hadilishi hilo flana lake!

Unknown said...

wewe nani ka kwambia wala hana mahusiano nae