22.11.13

Friday, November 13, 2009

SIKUKUU ZINAKARIBIA, WAFANYIE MAANDALIZI WATOTO WAKO KWA KUNUNUA PAMBA ZA JAVET BOUTIQUE.

Kadi za aina tofauti tofauti zinapatikana katika duka hili

Nguo za kiume za watoto

Watoto wa kike hapa watakuwa na tabasamu pana katika sikuu yao.

Kitu cha Black usikipimie kabisa aiseeee

Hapa vipi?

Pochi zakina mama pia zipo

Ufikapo dukani utakaribisha vizuri na utakutana na watu wako smat kama braza hapo.

1 comment:

twenty 4 seven said...

kweli huu ndo wakat wa shooping kwa ajili ya sikuu...