22.11.13

Wednesday, November 04, 2009

XXL IKATIMBA KITAA CHA SINZA.

The King of afternoon show B12 akishow love na wakazi wa Sinza

Wasanii waliozunguka na xxl siku hiyo ni Quick Racka, Baby Madaha na Mangwear.

Hapa XXL ilikuwa ikipiga story na washkaji

Mtoto wa Sinza akiwa analiwekea baraka gari la Fiesta kwa mshindi atakae lichukua.

Mangwear, Baby Madaha na Quick

Jiachie dada yangu

Serengeti wakagawa boksi la beer kwa washkaji.

ONE LOVE 2009.

1 comment:

Anonymous said...

hivi b12 ni kijana ama mzee na hiyo miwani lazima aivae?