Adamu akichonga na Rafiki na kumuuliza amejiandaaje na Fiesta.
Baby Madaha na Chidi Beenz wakiwa kwenye pozi la kistaa
Huyu mtoto aliyebebwa ni mchangamfuu sanaaaaaaaaa, anaitwa Bobby akiwa na Quick Racka
Washkaji wa Kawe wakiwa wanasubiri Serengeti Lager zao
Pale kiu kinapozidi
Usafiri wa Chidi Beenz aliotimba nao kitaa cha Kawe.
2 comments:
hongera chidi kwa usafiri wa ukweli
napenda sana wasanii wa bongo lakini sometimes think b4 you do something, haya baby madaha kavaa winter boots wakati kuna joto la kufantu bongo ndio nini? Dj choka washauri basi kidogo
Post a Comment