22.11.13

Sunday, December 27, 2009

MAZISHI YA BABA YANGU YATAFANYIKA KESHO JIONI.

Mazishi ya baba yake Albert ambaye alikuwa anajulikana kwa jina la KENNETH B. MANGWEHA yatafanyika huko kwake alipokuwa anaishi Morogoro. Mzee wetu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari.

No comments: