Ujumbe umewafikia.....
Ukiwa Zhong Garden utakutana na starehe za kila aina huku ukiburudisha na madj wakali wakiongozwa na dj Peter Moe
braza Yillande akiwa na mdau kutoka TTCL
DJ Haron, Moracka & Ruben
Wadau mbalimbali wakitizama blog ya dj choka huku wakila mziki mtamu wa Grooveback
dj haron & Nas 3
wewe nani...?
Nilimkuta bitoz wa Mbagala katupia ulimi nje...
Watu mbalimbali wakila burudani
Usiombe umkute mtu anakiu na bia.....sasa watu kama hawa ngoja ukutane nao mwezi January lazima atangaze njaa,
1 comment:
Yaani vitu kama ndala, yebo yebo huku ughaibuni ni vitu vya kawaida kabisa na utakuta mtu ni mwenye pesa kinomi.Nadhani kwa bongo ni kiashiria cha kuchoka kama sikosei.
Post a Comment