22.11.13

Wednesday, December 02, 2009

KUTOKA KWENYE FACEBOOK YA LADY JD, Video ya Teja ime leak

Hii ni habari kutoka kwa mwanadada Lady JD "Video ya Teja ime LEAK wala sija Release, nashangaa ni nani ameamua kufanya hivyo? Yote kheri tutaendelea tu kukomaa mpaka tuone mwisho"

1 comment:

Anonymous said...

Pole sana Jide.
Cha dhulma hakifiki popote.
Tumuombe Mungu.

Ongeza MAROGOOOOOOOOOOOOOO
WATASHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA NA
KUISOMA JAPO KIMYA KIMYA

disminder