22.11.13

Thursday, December 03, 2009

THE MAKING VIDEO YA MANGWEAR "CNN"

Jana majira ya jioni pale maeneo ya Shopperz Plaza kwenye club ya RUNWAY ndipo palipofanyika video mpya ya Mangwear inayoitwa CNN. Washkaji walikuwa kibao cha ajabu kuna watu waliniomba niwapige picha ila nisiandike majina yao.
Video hii imetengenezwa na kampuni ya Kallage's Picture

Aliyesimama ni Kallage mwenyewe akiwaelekeza jambo la kufanya

Uhondo wa ngoma uingie kati ucheze..dada huyu aliona hapana ngoja nijivute tu mbele.

Dully uzalendo ulimshinda ikabidi nae ashuke

Ndugu yetu Romeo Jons nae hakuwa nyuma

Kallage akiwaonyesha baadhi ya vipande.

Dada yetu mrembo

Dully na Dagma aka 120

Miraji Kikwete na dj choka

Babuu wakitaa na watoto wakali.

flowers

Ndugu yangu Adamu utaliweza hilo chupa

1 comment:

Anonymous said...

hiyo chata yako kiukweli siyo nzuri,yaani hata hiyo dj choka yenyewe haisomeki vizuri.siyo siri inaharibu hata picha.jaribu kubuni umpya stamp ya chata yako,isomeke vzr na isiharibu muonekano wa picha.by the way upo juu.big up!