22.11.13

Friday, December 18, 2009

NI MWAKA MMOJA SASA, ILA BADO TUNAKUKUMBUKA MAMA.


Leo ni Mwaka mmoja tangu Mama yetu mpendwa LIDYA ANANIA YESSAYAH alipotutoka ghafla hapa Duniani na kutuachia pengo lisilozibika katika Familia.

· Japokuwa haupo nasi hapa duniani lakini tupo nawe Kiroho kwa kuendeleza mema yote uliyotufundisha na kutuasa.Tunakukumbuka kwa Upendo, Busara, na Ukarimu uliokuwa nao kwa familia na marafiki.

· Daima unakumbukwa sana na watoto wako wapendwa John, Summa, Ambwene na Mage..Unakumbukwa na Baba yako, ndugu zako, washarika, majirani, jamaa na Marafiki zako wote.

MSHUKURUNI BWANA KWA KUWA NI MWEMA KWA MAANA FADHILA ZAKE NI ZA MILELE.

(Ufunuo 14:13)

No comments: