22.11.13

Saturday, December 26, 2009

NJOO TUUANZE MWAKA NA HIP HOP SHOW

Tarehe moja January, hip hop show pale COCO BEACH, wasanii watakaotumbuiza ni Imamu Abbas, Mansu-li, Rado, Wanaume Halisi, LWP, na Kikosi cha mizinga.
Kiingilio siku hiyo kitakuwa sh 5000/=

No comments: